SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 – WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 – UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 – UBAKAJI
5 – MATUKIO YA KIKATILI
6 – AJALI
7 – KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 – WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
コメント